Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Wakijichanganya kama kawaida!πHao wengine? π€£π€£
Acha zakoπWakijichanganya kama kawaida!π
Na wewe unataka kuonewahuruma?πAcha zakoπ
Hapana kwa kweli, nataka competition πNa wewe unataka kuonewahuruma?π
Competition utaumia zaidi mkuu!Hapana kwa kweli, nataka competition π
πππππ shemeji we mkorofiWakijichanganya kama kawaida!π
Competition utaumia zaidi mkuu!
Haya shem Depal mwingine huyu!πHiyo ni ya kiume zaidi, nikizidiwa naenda kujipanga tenaπ huruma ina masimango.
πHaya shem Depal mwingine huyu!π
Kumbe umezoea maumivu mkuu!π
Kumbe mnajuana eehπππ shem huyo alimsuta mtu humu sina hamu nae
defence mechanismπππ shem huyo alimsuta mtu humu sina hamu nae
Mwanaume lazima ule kwa jasho, sio kuonewa huruma.Kumbe umezoea maumivu mkuu!π
Acha wivu basi, ni jirani yangu tuπKumbe mnajuana eeh
Ila ulikula au bado unatoka jasho?Mwanamme lazima ule kwa jasho, sio kuonewa huruma.
Sasa nimeelewa kwanini unaongea yote hayoπAcha wivu basi, ni jirani yangu tuπ
Hapana shemeji π€£π€£Kumbe mnajuana eeh
ππππ Depal njoo umjibu shem darlin' wako Jack PalladinoIla ulikula au bado unatoka jasho?