Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie natumia tecno ina 4 years saivi inakaribia kuripuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—πŸ˜πŸ˜!! !
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Mm ndo ninehama juzi had kufikia kutumia Samsung nitakuwa nimechoka sana hebu tujitahid tukivunja vikoba tununueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ww auntie unajua ntakutandika fimbo sasa au unanichezea akili tu hapa,

kaone kwanza na mashavu yako, ☺️☺️

Mi mpaka niseme hivyo nishafanya comparison nyingi mashavu na uso wenu vinalandana sana 78%
Mimi unichapee???? 😁😁☺️! Hebuu njoo uone ntavokubutuaa kwanzaaa😊πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ˜„πŸ˜„!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…