itafanyaje sasa na mmeamuaπππ
Kinyonge sana
Utopwizo nitake radhi tafadhali huyu ni chura mwenye chura yakeShikamoo kolo manπππ!
Ebu selfika kwanzaa kitrambo sanaaa hujatubless!!
Lazima nipite kiupande upande mlangoni.πUkiwa na maana kwamba?
Nimekumention huko juu..nafuta chaapJamani hata blessing moja haijapatikana asubuhi hii mpaka mchana uingie jamani msifanye hivyo
We mtoto Mzuri Antonnia uko wapi
Niitie mrembo promax Bantu Lady
Bila kumsahau kaka mkuu Mjep na mama la mama Beeb ngoja niwaache Waseme
Kama ulikuwepo!!!ππ€€π€€Hiko kisamvu leo kitazidi utamu π
Kwa vyakula hivyo unavyolamba.?Lazima nipite kiupande upande mlangoni.π
Sijaona jamaniNimekumention huko juu..nafuta chaap
That's just for the gram! Nikishapiga picha najaza sahani mpaka juu.Kwa vyakula hivyo unavyolamba.?
Nusu Chips mayai hamalizi, huwa nashangaa π€π€ͺHivi Dr si utakuwa modo sana..?
[emoji3590]
Unaniruhusu nitoe hilo ua usoni?
Nafanya mazoezi nisikimbiwe kwenye date!π«£πNusu Chips mayai hamalizi, huwa nashangaa π€π€ͺ
Una date na mzungu?π€ͺNafanya mazoezi nisikimbiwe kwenye date!π«£π
Hako kanyanya mbona kama kuna namna kamefanywa? Umekafanyaje?
π€£π€£π€£ jamaniNafanya mazoezi nisikimbiwe kwenye date!π«£π
Naomba nikupunguzie kitambi ππ
Usije nilaumu lakini, πToa tule hela!!! Mteja Mjep yuko anasubiria tu Software afanye muamala.π€