Selfika na JF: Snap it. Show it

Dr lizy naumwa meninsiwez tafu a iyo samaki meno ya chin yote yanauma as if yanaziba uwazi wa meno kwahiyo unanishauri nini? Dr
Pole!!!πŸ˜•

Kuna jino litakua limetoboka....na inabidi ukalijaze au ung'oe. In the meantime, jaribu kuweka dawa ya mswaki....mie huwa inanisaidia sana. Ila ukiweka lazima liume sana for sometime.
 
Pole!!!πŸ˜•

Kuna jino litakua limetoboka....na inabidi ukalijaze au ung'oe. In the meantime, jaribu kuweka dawa ya mswaki....mie huwa inanisaidia sana. Ila ukiweka lazima liume sana for sometime.
But i cant be patient in painful for sure hapa tu nishabugia malimau wapi meno yanajivuta sehemu moja tu katikati ya upande wa kulia na kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…