mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
hizo sehem za kubaki uchi na taulo hamuogopi πAtaliaaa
π€£π€£Ndio
Ye atakaa nje kutusubiria
nikae bure tu.... namimi nataka mvukeπHiyo tutafanya me na Depal
We utalipia tu bills totoo
Ndio kashakua mwanaume, majukumu hayaepukikiπ€£Ataliaaa
Sa uogope ninihizo sehem za kubaki uchi na taulo hamuogopi π
Safiiii sana jirani..Tuingie sauna shangazi Lenie View attachment 2619224
kuna ile aibu yaani πsema dah, mi kweli mshamba...Sa uogope nini
Vitu za wakubwa hivi totoonikae bure tu.... namimi nataka mvukeπ
Ndio twende ukatoe ushamba totookuna ile aibu yaani πsema dah, mi kweli mshamba...
nataka nichungulie πVitu za wakubwa hivi totoo
hivi kwani kwenye sauna room moja mnaeza kaa wanaume na wanawake??Ndio twende ukatoe ushamba totoo
Yeahhivi kwani kwenye sauna room moja mnaeza kaa wanaume na wanawake??
Uchungulie watu au?nataka nichungulie π
ndioπUchungulie watu au?
itabidi nije huko dar nile hizi bata aisee πYeah
Akili zako πndioπ
Unapitwa na mengi Sana totoo, fanya ujeitabidi nije huko dar nile hizi bata aisee π
hamna, nataka nione tu vile wako mule ndani na vitauloπhivo vitu nimeona tu kwenye muvi....Akili zako π
Soma kwanzaitabidi nije huko dar nile hizi bata aisee π
napambania bro...Soma kwanza