Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee Brian ulipotelea wapi kwani kitrambo sana humu!
Tumekumiso kinoumaaa noumaaa!!
Warmly welcome Brayooo!
Usijareee kabesaaa Nakumbuka nina deni lako ausio [emoji16][emoji23]!
Karibu teinaa na teinaa selfika!!
Asante sana Boss Lady. Welcoming yako imenifanya nijisikie kama zamani ingawa majina mageni ni mengi sana kwenye uzi.

Nashukuru kama unakumbuka deni letu
 
Asante sana Boss Lady. Welcoming yako imenifanya nijisikie kama zamani ingawa majina mageni ni mengi sana kwenye uzi.
Wageni ni baraka mkuu acha wakuje uzi uchangamke uzuri selfika hainaga mbambambaa waraa neneee☺️!
kuna kitru kinaitwa Bantu Lady ni noumaaa nanusuuuu ikoo lazima ukaeee!!
Ebu fanya kama unatupia kwanza kitrambo sana ujue 😅,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…