Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi naomba utupie uliyosimama au kukaa nione mwili mzima,Na mm ntatuma passport size yeye sura yangu kabisa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Bantu rede usituangusheeeπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚

Do the needful kwa kakaakee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz πŸ˜‚

Nasubiria gushepuu na passport ya kakaa hapaaaπŸ™‡πŸ™‡πŸ˜
 
Utani wa ngumi huu kaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£!!
 
Bantu rede usituangusheeeπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚

Do the needful kwa kakaakee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz πŸ˜‚

Nasubiria gushepuu na passport ya kakaa hapaaaπŸ™‡πŸ™‡πŸ˜
Nyie πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» ila Inspire You mbona kama mwenyeji πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Kivipi mrembo Bantu Lady. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣

Kwako Inspire You

Majibuu😊🀭
 
Utani wa ngumi huu kaka
!!
Serious, wanawake wanaojipenda sana utawaona TU kuanzia usoni

Imagine Kama kile kisura Cha Kalpana kilivo smooth kinang'aa utadhn kimefanyiwa waxing

Wee unadhan uko chini patakuaje ukzingatia mwanamke mwnyw yule rangi ya chocolate jotoridi sentigredi buku

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa Uko vizureeee kakalakee Ndiomanaaa mama J atajifaraguaaa weee hakuachiii ng'o😊!!!! Kumbe na kwenye usafi pia umooo weeuuwweeh!! Inapendeza sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Niko jf kama 10yrs now, ila kama guest member. Nimeona napitwa sana ndio nikajiunga this year.

Kwa id kweli mgeni ila kwa matukio ya humu kitambo sana. πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 2598342
Nimejua tu u mwenyeji πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ ila lazima kuna ka ID kapo kametulia...
Karibu sana Selfika... endelea kutubless kama hivi, na sura pia hata ukificha kidogo πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Nimejua tu u mwenyeji πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ ila lazima kuna ka ID kapo kametulia...
Karibu sana Selfika... endelea kutubless kama hivi, na sura pia hata ukificha kidogo πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sina id nyingine Bantu Lady, ni hii tu. Blessings ziko Usijali nitatupia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…