Selfika na JF: Snap it. Show it

😅😅😅 umeona eeh ka curv flaniii katraakoo juu hivi.. acha nijipendelee ... mkanda nimevuliwa
 
Ooh poleni na Hongereni sana inaonesha mlikula pilau sawa, ndizi sawa, juice sawa na nyama mlipata sawa

Kilichowazidi yule aliyetumia pilipili alipata utamu zaidi na akajisahau kula kwa kiasi huyo ndio kawaponza🤣🤣
 
Acha tu ankalii watu walikua wamepaniajeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…