salama jirani , nipo kitaa nimekuja kiwanja kinachosifika mitaa mitaa hii .
Shemeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Thawa
Kidogoyou will always be my lovely bro .
Shemeji toka umeanza kusema unakuja Mwanza haufiki tu.Shemeki
Nitakuja Mwanza
Uniandalie masotojo
aise ngoja tuone jumapili .Money Is Khosified
jirani uje siku QX ni kwa baharia hapaWozer wozer!
Leo hakuna kulala eh?
Unazurura sana my friend ilikuwa special kwako na umeikosa ... pole sanaBantu Lady punguza mateso kwa chino umejificha wapi Tena.
acha kunilaza na kihoro inni mtoa nyongo! Hataki nipate usingizi leoUnazurura sana my friend ilikuwa special kwako na umeikosa ... pole sana
hahahaha kidogo tutafikaKidogo
Unaelekea ila
Unaniwekea wigo
Mpana
haha mpaka umepakubari!jirani uje siku QX ni kwa baharia hapa
nasubiri gemu ya Mnyama hapahaha mpaka umepakubari!
Ntapapitia hapo kuja tazama gemu ya arsenal
Leo lindo muhimunasubiri gemu ya Mnyama hapa
siku hizi mbili tatu sina usingizi .Leo lindo muhimu
watu wengi wanampenda , lets wait and seeHaha watatushangaza siyo
Nini hii