Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,903
Uko kama nyanda za juu kuanzia iringa mvua ya kutosha sasa njoo jiji la matapeli ndio utakomaHuu ukanda shy, mwanza, musoma, geita mvua zipo kahali ka hewa kazurii
Ni nomaKama kale ka alfajiri baridi linagongaaa [emoji4][emoji4][emoji4]ikifika alfajiri navaa suluwale
[emoji23][emoji23]Uko kama nyanda za juu kuanzia iringa mvua ya kutosha sasa njoo jiji la matapeli ndio utakoma
yeah humu watu wamezoeana balaa .. Muda mwingi tunaboreka , tunahitaji kupata faraja .Asante sana Tinsley;
It's a cool thread kwakweli, haipoi na watu mmezoeana as real friends ndiomaana nikasema, imeshakuwa kama kijiji ndani ya jf.
Jiji la matepeli dhambi sanaaUko kama nyanda za juu kuanzia iringa mvua ya kutosha sasa njoo jiji la matapeli ndio utakoma
Wee ujue huyo muhusika mwenyewe tayari ana ex wake anayempenda sasa ebu wajomba angalieni basi sio mnaniumuzaUnaona sasa National Anthem huyu haaminiki huyu kashazoea kuchakata za buku jero
Kuna joto sio la nchi hiiJiji la matepeli dhambi sanaa
Mweee hamna mke hapa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]tena nikitoka kuzurula nikifika tu anauliza umekula namwambia sijala napewa msosi ,nihame niende wpi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata bure mchukue tu, kikubwa aondoke homeWee ujue huyo muhusika mwenyewe tayari ana ex wake anayempenda sasa ebu wajomba angalieni basi sio mnaniumuza
[emoji1732][emoji1787]Sitoi unatishia , mie kanda maalumu ujue sitishiki
Ndo ujue nikipenda naingia mzima mzima unishahaulishe x wangu sasa iwe zamuyako [emoji23][emoji23]Wee ujue huyo muhusika mwenyewe tayari ana ex wake anayempenda sasa ebu wajomba angalieni basi sio mnaniumuza
Hii ni Tarime[emoji1787]Sitoi unatishia , mie kanda maalumu ujue sitishiki
Uzuri wako ni wa asili aunt yangu πππ harufu yako, hata bila perfume ni furahaa kuisikiaKamera tyuu ndugu mjumbe ππ
Nyooo camera hio kwio ndugu mjumbeKamera tyuu ndugu mjumbe [emoji4][emoji16]
Mwee mtu mwenyewe mie wa dakika 2 chali nitawezaje kukusahulisha ex wako. Hapo ni kujidanganya tuuNdo ujue nikipenda naingia mzima mzima unishahaulishe x wangu sasa iwe zamuyako [emoji23][emoji23]
hahahaha mambo kakaUnatumia nguvu nyingi
Huyo balehe ndio imemuanza
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Santo sana mjomba!!Uzuri wako ni wa asili aunt yangu πππ harufu yako, hata bila perfume ni furahaa kuisikia