National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Vijana tunataka kuwekeza π π π sio kuhongaCC
Wajukuu zangu, mmeambiwa muombe mitaji mfunguliwe biashara sio kuomba hela za Saluni kila siku π€ͺ
Msije kufanya Babu yenu niambiwe nirudishe mahari zenu wakati nimeshazitumia kwa shughuli za shambani ππ
Makambo kwa sasa sio kali kivileView attachment 2524153
Kama hapa ujumbe wake ni huu Vipi tukifika Makambako kwenye baridi lenyewe [emoji119]
Bora kuomba blanket mbili mbili kuliko kujifanya baridi lako utaondoa kwa namna ile nyingine [emoji2957]
Maskini [emoji3064]View attachment 2524432
Mtoto wa Monalisa nyie
Sisi enzi zetu tulikuwa tunahudumia Mwanamke kwa kila kitu ikiwemo kutenga bajeti yake maalumu kufanya shopping nzito Soko kuu la mzizima miaka ile ya Uhuru π€Vijana tunataka kuwekeza π π π sio kuhonga
Angalia umri wangu kwenye profile uone jinsi Babu yenu nilivyokula chumvi nyingi π€ͺπ huoni kwanini na umevaa sunglasses
Niliwahi kulala pale aisee, nilitumia blanket mbili lakini bado baridi lilinichapa πMakambo kwa sasa sio kali kivile
Mlikuwa mnatoa wapi helaSisi enzi zetu tulikuwa tunahudumia Mwanamke kwa kila kitu ikiwemo kutenga bajeti yake maalumu kufanya shopping nzito Soko kuu la mzizima miaka ile ya Uhuru π€
Kuna kipindi unawekewa mpaka jiko la mkaa ndaniNiliwahi kulala pale aisee, nilitumia blanket mbili lakini bado baridi lilinichapa [emoji119]
yanga tumefurahi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2524646
πππSisi enzi zetu tulikuwa tunahudumia Mwanamke kwa kila kitu ikiwemo kutenga bajeti yake maalumu kufanya shopping nzito Soko kuu la mzizima miaka ile ya Uhuru π€
Hivi hapo shida ni baridi au tu watu wanapenda kulowekana ππView attachment 2524153
Kama hapa ujumbe wake ni huu Vipi tukifika Makambako kwenye baridi lenyewe π
Bora kuomba blanket mbili mbili kuliko kujifanya baridi lako utaondoa kwa namna ile nyingine π€ͺ
Mpira haramu kijanaπyanga tumefurahi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2524646
Aunt mzimaMlikuwa mnatoa wapi hela