Kuna sehemu moja hivi California inaitwa Orange County.....
Kule wamejaa wanawake wakilatini (Latinos) kama ambavyo wakina Mwajuma wamejaa Mwananyamala...
Watoto ni wazuri kweli-kweli na wanaishi kiswahi-swahili tu, ukiwa na vipesa kidogo wanaweza kukuaa kabisa