Selfika na JF: Snap it. Show it

Mashallah. Ticha utakuwa unawapa shida sana wanafunzi ya kukupenda.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu mwenzake ilibidi afukuzwe kazi tu maana madenti walikuwa hawaelewi cho chote.

Sina uhakika kama wanafunzi wa Bosi Ledi huwa wanaelewa anything [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…