Utaziweza tu labadi u log out mileleHekaheka zenuu humu mi siziwezii[emoji119]!!
Aisee ππ Ndio kakudanganya ni babu muulize Wigelekelo akupe ukweli kuhusu Grahams ni kijana kabisa anamiliki duka lake la hardware
Atajua hajui[emoji23] Ndio kakudanganya ni babu muulize Wigelekelo akupe ukweli kuhusu Grahams ni kijana kabisa anamiliki duka lake la hardware
Mbona bado toto kweliNilikuepooooooo!
Kesho nayo ni siku wapendwa kiduku mpapaso
Hizi gharama Mwachiluwi ataweza wapi[emoji28]
Wewe neng'enekaHahahaaa.. Wigelekelo poka anahitaji data za babu yetu fanya kumpatiaa
Byuti byuti aiseeh babu wa mchongo Grahams namwonea wivu mtoto mashallah!Nilikuepooooooo!
Kesho nayo ni siku wapendwa kiduku mpapaso
DuhPoker niitie kiduku mpapaso nataka nimbless kwanzaaa
Kumekucha[emoji1787][emoji1732]Tangu miwani yangu ya macho ivunjike napata shida sana kuperuzi JF.
Kuna mjukuu wangu nimemwomba aninunulie amesema ngoja Januari iishe, ndiyo nasubiri hapa [emoji23]
Kwa urembo huu akija Poker au Wigelekelo kutoa mahali lazima Babu hapa nitake koti kutoka Italy.Nilikuepooooooo!
Kesho nayo ni siku wapendwa kiduku mpapaso
Kwani anaondoka nayo?Hekaheka zenuu humu mi siziwezii[emoji119]!!
Karibu sanaHuyu na mwenzie Wige lazima nije niwaoneshe cheti changu cha kuzaliwa ndiyo wataamini, wandhani miaka 78 niliyonayo mchezo [emoji847]
Hahahaaa... mtu mlishanikabidhi kwa mjeda kitambo sana wao hawataki kuamini kabisa mjukuu nawezaje kuwa na babu Yangu mieππππ!Huyu na mwenzie Wige lazima nije niwaoneshe cheti changu cha kuzaliwa ndiyo wataamini, wandhani miaka 78 niliyonayo mchezo π€
Sio li Babu tasavali muite babu Yangu vizuri pullliiizzzzzzzzzzzzzzz π€π€π€π€£π€£!
Babu umri umeenda mjue π€ͺ
Babu kijana acha kutuzuga tunajua fika hiyo mali safi kama almasi au tanzanite ni yako ila nakuonea wivu mzee unakojoa pazuri mnoo! π₯Ί Alafu kila nikiwaza hips zake na lile wowowo lake na mzee Grahams una bahati sana mkiachana unijulishe please!Kwa urembo huu akija Poker au Wigelekelo kutoa mahali lazima Babu hapa nitake koti kutoka Italy.
Nimefanya kazi kubwa mno kumlea na kumlinda Mjukuu wangu π€ͺ