Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo ni babuuu kabisa sio kijana kuwa na adabu Kijana πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ !! Sijamuona Kitrambo humuu babu yetu hebu muite aje kutupa sayings za maisha wajukuu zake kwanzaaaa
πŸ˜‚ Ndio kakudanganya ni babu muulize Wigelekelo akupe ukweli kuhusu Grahams ni kijana kabisa anamiliki duka lake la hardware
 
Huyo ni babuuu kabisa sio kijana kuwa na adabu Kijana πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ !! Sijamuona Kitrambo humuu babu yetu hebu muite aje kutupa sayings za maisha wajukuu zake kwanzaaaa
Huyu na mwenzie Wige lazima nije niwaoneshe cheti changu cha kuzaliwa ndiyo wataamini, wanadhani miaka 78 niliyonayo mchezo πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…