Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Nitumie chap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] seriously???
Nimekumic mnoo bestiee.Mzima pia
#superearlylunch
View attachment 2470709
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakutumia kwa Money gram usijar.Nitumie chap
Hapa kishafika, hatoki, hang'oki...Aaah mkuu unatumia nguvu kubwa kujitutumua unaficha nini?
Yaani hata Bantu Lady hajakushtukia?
Najua muda si mrefi atasema wanaume wote ni mambwaπ€£π€£π€£π€£
Sasa mvulana unashauriwa na wanaume unakimbilia kuomba huruma kea ke?π€£π€£π€£Babe Bantu Lady unamsikia huyu?
Ana wivu mkali babe huyo, ndiyo anatufanya tuzidi kupendana...Babe Bantu Lady unamsikia huyu?
Tumpe Valentina wanaendana sana.Hapa kishafika, hatoki, hang'oki...
Glenn hujakata tamaa nikuunganishe na Valentina maana kwakuwa nyinyi ni ruba mtagandana haswaaa...
My Jack Palladino I love you πππ
Ukiwa mwepesi ni shida sana!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakutumia kwa Money gram usijar.
Nimekaa pale nasubiria siku ulete mrejeshoπ€£Hapa kishafika, hatoki, hang'oki...
Glenn hujakata tamaa nikuunganishe na Valentina maana kwakuwa nyinyi ni ruba mtagandana haswaaa...
My Jack Palladino I love you πππ
Mkuu Glenn jibu umelipata sasaAna wivu mkali babe huyo, ndiyo anatufanya tuzidi kupendana...
Mwache akuponde atakavyo, ila hatuachani.
Glenn my babe siyo mvulana ni Mwanaume sawa.Sasa mvulana unashauriwa na wanaume unakimbilia kuomba huruma kea ke?π€£π€£π€£
Wananifananisha na waoβΉοΈGlenn my babe siyo mvulana ni Mwanaume sawa.
Kumbe unajua kuwasoma watu eehπ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km ambavyo wee ukimalzana na lucie??Ukiwa mwepesi ni shida sana!!!
Mkuu naona vita imekushinda sasaπ€£Yaani fujo zote hizi unanikomoaππππ
Hivi nimewahi kuwa na wewe lini etiπππ ERoni
Ahaaaa umeanza sasa unajua utaniharibia hapaπ₯Ί[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km ambavyo wee ukimalzana na lucie??
Mbavu zangu mie, uwiiii.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Yaani fujo zote hizi unanikomoaππππ
Hivi nimewahi kuwa na wewe lini etiπππ ERoni