Ntakuita dear ikiwezekana ntakusevia kabisa 😁😁😁🤣🤣🤣! Au chagua hii kazi tumpe nani WigelekeloJack PalladinoERonisumbaimyoyambendi au nani?? Nahisi wao Ndio wataifanya kwa weredi zaidi au nasema uongo wapendwa??🤣🤣🤣🤣🤣
Wabheja sana lect hunaga uswahiliiii Kabisaaa Safiii sana✌️✌️✌️✌️!!
Hakika mchana wangu Utaenda kuwa bareeeeeeeedaaaa kabisa... nasubiria za wengine sasa
Asante kipenzi nawewe pia. Jamani hakuna mtu mbaya. Na nilikuja jifunza hili, ni vile unavyomwangalia na moyo wako utakavyomkubali. Kila mtu ana uzuri wa aina yake, inahitaji jicho sahihi kuona huo uzuri wake. Ila mimi 🙄🙄🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣
Asante kipenzi nawewe pia. Jamani hakuna mtu mbaya. Na nilikuja jifunza hili, ni vile unavyomwangalia na moyo wako utakavyomkubali. Kila mtu ana uzuri wa aina yake, inahitaji jicho sahihi kuona huo uzuri wake. Ila mimi