Namtafuta Rumaiya Jamani nimemiss baraka zake kabla ya kuanza mwaka mpya twentitwentithree Naomba uniitie mamako RumiiHappy new year wishes to my dearest friends and family@Antonnia cocastic Tinsley Mjep Grahams Wigelekelo National Anthem Carrasco putin Ms cee myoyambendi
Mwaka huu mpya wa 2023 ukawe wa mafanikio kwenu, Mungu awajaalie afya tele, baraka na fanaka tele zikawaangazie nyinyi na familia zenu.
Poleni kwa safari ndefu ya 2022 iliyokuwa na mambo tele sana, sasa tuiweke nyuma yetu tuangalie 2023.
Muwe na usiku mwema lot's of love from Poker
Daaaah mwaka upite, mwakan kipindi km hiki niko la charlz au mtini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo
Nakaziaaaaaaaaa Poker your selfii pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Pichaaa babaaa tuwekee ya mwishooo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
InshaaAllah,Daaaah mwaka upite, mwakan kipindi km hiki niko la charlz au mtini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
AstaghafiruNakula Nyama ya kuku na mdudu tru rafiki wabheja sana!!
Enjoy [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Ndrioo Wigee
Happy New year mkuuNdrioo Wigee
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee ππππππππππππππ!2023 hio kazi kwenu wananzengo