Kama wewe Mchaga, hapa umekutana na nduguyo Mpare.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye helaaaa, nakuaga mchaga kwa mkopooo. Mweeeeeh.
No tayar rushaa money gram huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata nshasahau mie[emoji28]Wewe ndio unaweza kusema ukweli my ex[emoji38]
We unalalaje kabla hujapindua mwaka mremboUsingizi umenzidiaaaasa wapendwa muwe na Usiku mwemaaaaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
See you mwakaniiiiiii!!
One love [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Subiri kuna jambo nataka kusema.Usingizi umenzidiaaaasa wapendwa muwe na Usiku mwemaaaaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
See you mwakaniiiiiii!!
One love [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Wewe sikuforwadiiii huna matumiz nayoMuweke hapahapaa Mambo ya kutumiana Dm sio poaaaaa!! Mwakani nakudai hio selfii Vale ngoja mi ninareeee[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Hazifiki hukoHahah likiwepo ng'ombe wanakuwa 200
Lol ngoja nivumilieee basiii nisikie Hilo jambooo! Muwe mnatupia tupia tusuuze macho sasaSubiri kuna jambo nataka kusema.
Itabidi tukumbushie basi😄Ata nshasahau mie[emoji28]
Acha hizooo huwezi juaaa!! Atupie mwenyewe hapaaa ili usipate dhambiiiWewe sikuforwadiiii huna matumiz nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wige acha wivuu, khaaaahKama analo (sabhini) tako zitatoka
Kama hana vi ng'ombe viwili tu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Yaan uwiiiih asaidiwe kwa kweliHiyo nyimbo kwa siku lazima niisikilize ni bora kwangu kwa mwaka 2022
Aminaaaaaaaaaaaaaaa kubwaaaa rafikiiii!Happy new year wishes to my dearest friends and family@Antonnia cocastic Tinsley Mjep Grahams Wigelekelo National Anthem Carrasco putin @rumaiya myoyambendi
Mwaka huu mpya wa 2023 ukawe wa mafanikio kwenu, Mungu awajaalie afya tele, baraka na fanaka tele zikawaangazie nyinyi na familia zenu.
Poleni kwa safari ndefu ya 2022 iliyokuwa na mambo tele sana, sasa tuiweke nyuma yetu tuangalie 2023.
Muwe na usiku mwema lot's of love from Poker
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman jaman dhambii hizi, nimesubiri wee holla. KhaaaahKama wewe Mchaga, hapa umekutana na nduguyo Mpare.
Ni mwendo wa kula kwa picha ya Samaki tu [emoji2957]
Nikipata utapata
NdiyoUyoga kama maini vile
Njoo
Pichaaa babaaa tuwekee ya mwishooo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Happy new year wishes to my dearest friends and family@Antonnia cocastic Tinsley Mjep Grahams Wigelekelo National Anthem Carrasco putin Ms cee myoyambendi
Mwaka huu mpya wa 2023 ukawe wa mafanikio kwenu, Mungu awajaalie afya tele, baraka na fanaka tele zikawaangazie nyinyi na familia zenu.
Poleni kwa safari ndefu ya 2022 iliyokuwa na mambo tele sana, sasa tuiweke nyuma yetu tuangalie 2023.
Muwe na usiku mwema lot's of love from Poker