Wee sio uninunulie?πππ uje basi uninunulie cappuccino
Una fail hapo malkia ππWee sio uninunulie?
Wanawake dhambi kununulia vitu wanaume
Nina allergy π€£π€£Una fail hapo malkia ππ
Unajishusha mwanamke mzuri na hodari kama wewe, mala moja moja una msuprise mwanaume ππ
ππππNina allergy π€£π€£
Mimi huyu unanifanyia hivyo ππNatafuta hela kwa tabu sana ujueπ
So nazitumia kwa adabu
Hahahaa naanzaje kwa mfano....Mimi huyu unanifanyia hivyo ππ
Usinidanganya basi πππHahahaa naanzaje kwa mfano....
Nitakuja we andaa tumbo tu hapo chalii angu
Lini nimekudanganya mie jamaniUsinidanganya basi πππ
π π π hujawai nidanganya saa kumi na hii hapaaaa ππLini nimekudanganya mie jamani
Wacha nimalizane na mpakistan nakujaπππ π π hujawai nidanganya saa kumi na hii hapaaaa ππ
ππ Mpakistan tenaaWacha nimalizane na mpakistan nakujaππ
12 juu ya alama nitakua eneo la tukio
Namfundisha kiswahili hapa, hofu ondoaππ Mpakistan tenaa
πππππNamfundisha kiswahili hapa, hofu ondoa
Ndiooooπππππ
πππ mwenye kitu chako uniqueNdioooo
The one and only... heheeeππππ mwenye kitu chako unique
πππ wenye wivu wenywe dawa tatuThe one and only... heheeeπ
π€£π€£π€£πππ wenye wivu wenywe dawa tatu