Full Jersey,, excuse my camera yall..View attachment 1263969View attachment 1263970
yupo hapa katulia kihomehome anakula mmea na bia mbili.Yule mtu alikuwa anataka jua eti furushi ni nini
Umependeza...
Okei okeeeei...bila shaka ulisogea Taifa pia kutuwakilisha
yupo hapa katulia kihomehome anakula mmea na bia mbili.
Hii chorus kiboko, [emoji119]You've got the right to be horny 24/7 my dear, dadeq![emoji7]...and it takes a strong man to really make you satisfied [emoji39]
mhhh nini sasa.Mmhh..
Naanzaje kusahau sasa?!
Yes. Ni kweli kabisaaa.Ninunulie basi inayonitosha, hizo za Hazard CFC zitakuwa zinanuka pombe.
Hahaha kuna mdau alikua anauliza eti ushashuka kwenye ile ist??[emoji23][emoji23][emoji23] simkumbuki ni nanii
Kwa nini mkuu?Hii chorus kiboko, [emoji119]
Yuko darasa la ngapi?Yule mtu alikuwa anataka jua eti furushi ni nini
Una hamu ya laana?Hayaa nitarudi kusubiria chabo tu
ππππJana nilimix yokozuna na milk stout na konyagi na balimi.. [emoji125][emoji125]hapa natamani kichwa nikitumbukize kwenye fliza
Kwa nini mkuu?