Blessed woman
Member
- Dec 2, 2022
- 17
- 63
Mpo wengi mjuee ss tupo wachache tukifa sijui mtaishije
Wanazaliwa watu kila sikuMpo wengi mjuee ss tupo wachache tukifa sijui mtaishije
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wewe umezaa
Si niiliweka nifute, nikapigiwa simu ya msingi, nikajisahau nakuja kumbuka saa hizi 🙉🙊
Marhabaaa nakupa matokeo ya auntie Yako kapiga A swaafi kabisaaa
Sawa, usisahau kutuma namba, Google Map adressKushakucha sasa...labda jioni tena 😁😁
Weuweeee🔥🔥🔥🔥Marhabaaa nakupa matokeo ya auntie Yako kapiga A swaafi kabisaaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ambao hawajaona ni wazembe
Acha tu usingefuta😝Si niiliweka nifute, nikapigiwa simu ya msingi, nikajisahau nakuja kumbuka saa hizi 🙉🙊
Wengine tutaonana peponiAmbao hawajaona ni wazembe
Tena mara ya 2 hii unaweka