Yeah hio robo saa naonaga wanajivutavuta matangazo kama yote kuanza kumi kamilii!!Hatari aisee
hiyo inaanza saa tisa hii
Tuseme saa 3:30 au 15:30.... 👈👈👈🤣🤣 KumbushaH
uu muda ni wa kizungu au kiswazi
Kerege nipo MamyGomz kwenu huko[emoji16]!
utanipa updates pleaseYeah hio robo saa naonaga wanajivutavuta matangazo kama yote kuanza kumi kamilii!!
🤣🤣🤣🤣🤣 Daah hamna alikua akikutania tuNishabadili , Asante boss lady kwa kunitonya 😂😂😂
Woiiiii imeisha hiyoTuseme saa 3:30 au 15:30.... 👈👈👈🤣🤣 Kumbusha
Shamba ipi ambay nishindwe kukupata.. mile 6 au🤣🤣🤣🤣🤣Wapi utaninasa 🤣
nipo shamba mie
Sitakiiiii🤣🤣🤣🤣🤣 Daah hamna alikua akikutania tu
Mbali huko kabisa 😂😂Shamba ipi ambay nishindwe kukupata.. mile 6 au🤣🤣🤣🤣🤣
Yaaan kukuamini kote huko unakuja niaribia mambo yangu..😬😬😬 sijapenda haya fanya juu chini asighairi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maangamizi yahizo lipsss sijui walai [emoji1][emoji1][emoji1]!! Hakuna kughairi asee!
Hamna kitu ka hicho...😬😬 Yashapangwa tayarSitakiiiii
time will tellHamna kitu ka hicho...😬😬 Yashapangwa tayar
Bhado sijaona cha kunitisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe nasemaje umeyakanyaga olee wako...Mbali huko kabisa 😂😂
na Kuna mbwa wakali
Isha tu tell tayar kuwa ulichoweka kisha be confirmedtime will tell
ole wangu what 😂😂Bhado sijaona cha kunitisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe nasemaje umeyakanyaga olee wako...
Najua nitakavyo kuchenga 🤣🤣Isha tu tell tayar kuwa ulichoweka kisha be confirmed
🤣🤣🤣🤣 Kunichenga mii inabidi uwe mtaalamu kwel anNajua nitakavyo kuchenga 🤣🤣
Mmh kwamba wewe ndo fundi wa kuchenga🤣🤣🤣🤣 Kunichenga mii inabidi uwe mtaalamu kwel an
🤣🤣🤣 Kauzu + kauzu = 😭😭ole wangu what 😂😂
nitakuwa kauzu 🤣🤣
🤣🤣🤣 Kauzu + kauzu = 😭😭