Mna Raha huko aiseeHuku maparachichi ni mengi nalo sijaacha 😁🤭!
Nishakaribia..🤣🤣🤣🥲🥲 dua yako muhimu jamniKaribu tena Mkuu 🤣
🤕🤕🤕 Am sick...Umepatwa nanini????? T kasema umepoa Kweri kweri!
What's wrong??? Lol pole sana mkuu!!Naumwa generally... 🤣🤣🤣🤣🤕🤕🤕🤕 Nalia tuu hapa mwenzako
Yesu akuponyeNishakaribia..🤣🤣🤣🥲🥲 dua yako muhimu jamni
Specifically shida ninini???🤕🤕🤕 Am sick...
Asante an... Macho macho... 🥺🥺🥺What's wrong??? Lol pole sana mkuu!!
Macho yangu yakishindwa kuona ""upendo wa dhati,"" huwa yanauma sana....🥺🥺🥺🥺Specifically shida ninini???
Dah poleee sana! So hata mpira huwezi angalia hapo saii?!Asante an... Macho macho... 🥺🥺🥺
Pole , uende hospitalAsante an... Macho macho... 🥺🥺🥺
Na unabet wewe... Maana sio kwa ufatiliaji huoo🤣🤣🤣dakika ya 90
plus nyingine zineongezwa
nipo hapa pembeni ya tv 🤣🤣🤣Na unabet wewe... Maana sio kwa ufatiliaji huoo🤣🤣🤣
Siangaliagi kabisa an... Napataga info tuu😥Dah poleee sana! So hata mpira huwezi angalia hapo saii?!
Ameen nahitaji maombi ya kufunga na kukesha kwa kweli..🤣🤣🤣🤣 naona kabisa mwaka huu ni wanguYesu akuponye
Amen
mmmxxxiiieeewww!! Mi najua waumwa siriaz!! nyau wewe!! Kwahio tukusaidieje Mr T lakini ?? hebu fanya kumtell mrs tuangalie namna hapo!Macho yangu yakishindwa kuona ""upendo wa dhati,"" huwa yanauma sana....🥺🥺🥺🥺
Ujawah kushawishika kubet wewe... Ili umpage muhindi pesanipo hapa pembeni ya tv 🤣🤣🤣
Kesho tusali ndugu MtumishiAmeen nahitaji maombi ya kufunga na kukesha kwa kweli..🤣🤣🤣🤣 naona kabisa mwaka huu ni wangu
Hilo sonyo la makasiliko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 endelea dawa yako yachemkammmxxxiiieeewww!! Mi najua waumwa siriaz!! nyau wewe!! Kwahio tukusaidieje Mr T lakini ?? hebu fanya kumtell mrs tuangalie namna hapo!