Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,403
Weeeeee ebu acha basi... Kusemaje kuna watu wapo kwenye masumbuko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na wapo limitedYeah freely to do anything that you like ....no usumbufu 😂😂😂
sometimes it's hard Ila Yupo Mungu anayaetushindia
Yaaah hiyo ndo furaha yangu mie🤣🥱🥱🥱🤒🤒🤒🤒Kwa hiyo unafurahi team yangu ikifungwa 😂😂😂
Thank you Mkuu
Ushindwe 🤣🤣Yaaah hiyo ndo furaha yangu mie🤣🥱🥱🥱🤒🤒🤒🤒
""""Bado Sana kuwa boss lady mie""" 🥱🥱🥱🤒🤒 maneno yako yana uoga ndani yakeThank you Mkuu
we are supposed to be grateful for everything.
huo ndo ukweli .""""Bado Sana kuwa boss lady mie""" 🥱🥱🥱🤒🤒 maneno yako yana uoga ndani yake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Winning team et.. haya ndo hivo mambo yanaenda kombo leo tena kama jana.... Mybe ushangilie magoli🤣🤣🤣Ushindwe 🤣🤣
mie napenda kufurahi tu , I must be on the winning team .
Sasa hivi nitaanza kufuatilia team hizo , nisijechagua team ambayo haijui kucheza vizuri
Hahah haiwezekani waarabu hao wataanyooshwa .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Winning team et.. haya ndo hivo mambo yanaenda kombo leo tena kama jana.... Mybe ushangilie magoli🤣🤣🤣
Poleeeee!! Kwani mechi sa ngapi???Tanesco wametukatia leo
nitaangalia wapi game leo
Tuko poa mamy!morning beautiful
mmeamkaje huko na familia
🤣🤣🤣 Coz unajiweza hutaki mambo ya limitations wewe.... Maan wee mwenyewe kichwa chako unakijua 🤣🤣🤣🥱huo ndo ukweli .
siwezi danganya , nipo nipo tu .
🥱🥱🥱 Leo unasema kwa kujiamini kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣Hahah haiwezekani waarabu hao wataanyooshwa .
Una bahati leo ,tanesco wamezingua
hakuna umeme hadi saa moja .
Thank youPoleeeee!! Kwani mechi sa ngapi???
Cheki hii toka google🥱🥱🥱 Leo unasema kwa kujiamini kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
Lol nitakua Kazini!!Thank you
mechi saa saba
weh ushindwe mie binti mpole na mtulivu .🤣🤣🤣 Coz unajiweza hutaki mambo ya limitations wewe.... Maan wee mwenyewe kichwa chako unakijua 🤣🤣🤣🥱
Oyooooooo🤣🤣🤣 an hadi kufatilia umefatiliaa saa jana ulifeli wapi 🤣🤣🤣🤣 et unbeatenCheki hii toka google
Argentina is unbeaten in all four of its matches versus Saudi Arabia. The only competitive meeting was in the 1992 Confederations Cup final in Riyadh. La Albiceleste won 3-1 courtesy of goals by Leonardo Rodriguez, Claudio Caniggia and Diego Simeone.
Leo imewahi kweliLol nitakua Kazini!!
Mindset yako tu uliyonayo juu ya kuridhika na ulichonacho ni uboss tosha sana.Thank you Mkuu
we are supposed to be grateful for everything.
Bado Sana kuwa boss lady mie
Ndo hivyo nimeanza hapana chezeaOyooooooo🤣🤣🤣 an hadi kufatilia umefatiliaa saa jana ulifeli wapi 🤣🤣🤣🤣 et unbeaten