dakika ya 58Asante dear nimekuja Africa tupo juuuu!!ππππππ
Ngoja tuone!! Hivi za Africa zimeingia Team ngapi??dakika ya 58
bado mbungi inapigwa
Tano mamyNgoja tuone!! Hivi za Africa zimeingia Team ngapi??
Lol asante... Cameroon Ghana SenegalππππTano mamy
Cameroon, Ghana, Morocco, Tunisia, na Senegal
Wanatuwakilisha vyema haoLol asante... Cameroon Ghana Senegalππππ
dakika ya 81Lol asante... Cameroon Ghana Senegalππππ
Sijapentaaaaa..... Kimya kimya nipo Africaaaaa ..Nimeumiaaaaaaadakika ya 81
Inauma aiseeSijapentaaaaa..... Kimya kimya nipo Africaaaaa ..Nimeumiaaaaaaa
USA vs Wales 4 kasoro;Inauma aisee
japo ndo mpira huo .
unaofuata ni upi ?
Una mimba dogo! Hongera mwayaaa utazaa wakikee ππNjooni mle kwanzaView attachment 2423424
Hilo nitakuwa nimeenda kulala .USA vs Walec 4 kasoro;
MmhNjooni mle kwanzaView attachment 2423424
welcome back , bossSelfika na #tigo#
*104*062699163750595#