Matamu hayoUdenda umenitoka jaman
Njoo unipikieMatamu hayo
ukirudi ukayapike
My babies' papaa!!Na ww pipi ya kijiti utapewa na nani [emoji41]
Tena kwa sie tulioko kwa "midlife crisis" nikipata kitu ya namna hii nasahau kidogo matatizo yangu kwa mdaπ€£Vinafaa mno kulumangia
Nifate nije kupikieNjoo unipikie
πππShemejiSitak upate tabu shemeji yangu [emoji41][emoji41][emoji41]
We miss u tooπJamani Saint Anne na Jack Palladino mewamiss
Naota ππ huyo alishanitupa kwenye ule uzi wake wa kushindwa ku move onTulips tuzuri jaman kweli National Anthem anafaidi
Abee mume
Mwenzangu Saint Anne njoo
Tulia kwanzaπππHuyo mtoto wa mam mkwe niwe mimi[emoji2211][emoji2211]
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Nitairudia badae usijaliDah ushaifuta jmn π₯π₯
Ahaa kausha basiπMwenzangu Saint Anne njoo
Naishukuruje Simu Yangu kuna mida picha hata ikifutwa nikiclick naiona mida mingine sizioni ivoivo!!Nitairudia badae usijali
Ah nihonge kwanza[emoji28]Ahaa kausha basi[emoji28]
π π πAh nihonge kwanza[emoji28]