Naongea tu , future is uncertain .Mapenzi ya hivyo sikushauri
Hayafiki popote.
Kuna kawimbo huwa kanasemaNaongea tu , future is uncertain .
Navyompenda huyu Yesu , huyo mtu ajiandae .
Oyo Oyo π₯³π₯³π₯³harusi ipoooo, lazima mchezee mwakan.
Mama H πNakedπ..enzi za ujana
View attachment 2414404
Pisi kal
Kwa kwelihebu junia apate mdogo ake.
Kelsea π€¨π€¨π€¨
Antonnia , jana night hiyo π€£π€£π€£... mzabzab mwanawane jana nililipuka lazima mtoto ilikuwa aende na maji na kesho nampeleka zanzibarView attachment 2414406
Lol mjomba uliwakaaaaa hatareeeeeπππππ! Pendeza sana mjombaaKelsea π€¨π€¨π€¨
Antonnia , jana night hiyo π€£π€£π€£... mzabzab mwanawane jana nililipuka lazima mtoto ilikuwa aende na maji na kesho nampeleka zanzibarView attachment 2414406
Naomba koti nimpe aunt kibungo avae juma3Kelsea π€¨π€¨π€¨
Antonnia , jana night hiyo π€£π€£π€£... mzabzab mwanawane jana nililipuka lazima mtoto ilikuwa aende na maji na kesho nampeleka zanzibarView attachment 2414406
Nisaidie bwana Coca.ye mwenyew muoga, eti anakusakizia kwa Wige, hebu muambie aache ushamba, akamatie jimbo.
Nyimbo zanibariki mno , I feel something burning inside me nikiwa naimba .Kuna kawimbo huwa kanasema
Wa thamani Yesu wathamani
Wa thamani zaidi ya vyote
Kuwa na wewe ni Bora kuliko vyote
Wa thamani Yesu wa thamani.
Huwa na maana kubwa sana.
ππD nitakubondaaa..ohoooMama H π
Nyimbo zanibariki mno , I feel something burning inside me nikiwa naimba .Kuna kawimbo huwa kanasema
Wa thamani Yesu wathamani
Wa thamani zaidi ya vyote
Kuwa na wewe ni Bora kuliko vyote
Wa thamani Yesu wa thamani.
Huwa na maana kubwa sana.
Mbona pregooo lol hebu mlete kwanza huyo wakuingizaa hiloo baoooo π€π€ ππππ€£π€£πAntonnia
Shoga uyogaa kisa kuwa mama kija ndo unifungie vioo, nakuambia utakufa umechoka sanaa mwayaa,
Haya zaa wee mwenye mayai, mwenzio nilikaangia chips,
Nimekumic mnooooooo shoga mbogaaaaa.
H atagombelezeaππD nitakubondaaa..ohooo
ππππPisi kali ya nyorooPisi kal
Tuone na ya uzee
Wewe na boss ledi ni mapacha aisee
Tulia weweee.. tunavaa kisela tu π€£π€£π€£ mala moja moja basi, mistake ndogo ndogo lazima ziwepo
Mistakes kama zipi πTulia weweee.. tunavaa kisela tu π€£π€£π€£ mala moja moja basi, mistake ndogo ndogo lazima ziwepo
πππ Huo muda anakuja kugombelezea atakukuta umechakaa π€£π€£H atagombelezea
Maana ataona tu unanionea π
Yan huo muda utakao anza kuthubutu tu atakuwa shafika, maana atasikia manukato yakoπππ Huo muda anakuja kugombelezea atakukuta umechakaa π€£π€£