Kwa hiyo hao unaowaita wanaume kamili wanajua mtu ana swaggs na quality kwa kuangalia miguu wa mtu?
.
Ndio wanaume kamili unaowazangumzia wa kugundua uzuri wa mtu kwa kuangalia miguu yake? Yaani wanaume kamili wakiona mguu mweupe halafu mnene ndio wanafunga mkataba kwamba huyo mtu ana swaggs na apo na uquality?
.
Usitutishe wewe na hao mabaharia feki unaowaita 'wanaume kamili'. Hamna mwanaume kamili hapo.
.
Anaweza kuwa mzuri ila eti kusema kafunika picha za wote huku ni kudhihirisha kiwango chako cha ujinga.
.
Kisa mtu ni mweusi na ni mwembamba basi sio mzuri? Maana ukizungumzia ile picha ni mguu tuu unaonekana. Hiyo haitoshi kutoa kasoro picha zote zilizopostiwa.