Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Ulivyo kuwa unaogelea pale ledge view dahh binti umeumbwa ukaumbika haswa ulinichanganya akili yangu sana siku ilekha umekionea wapi [emoji23][emoji23]
Cha utundu ndo kikoje duh
Tumkaange kwanza kwa kauli zako za jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimgawe yolly yolly [emoji7][emoji7] kisa Liverpool mshindwe mkiongoza ligi hata Sekunde nitawapa yolly yolly bure kbsa [emoji39][emoji39][emoji39]
Shemeji ujambo nimekumic mpka nakuota una mimba ya Mjep[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!
Embu niache bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitokeii kwenye jukwaa la Liverpool mpka siku mfungwe [emoji41][emoji41]Tumkaange kwanza kwa kauli zako za jana
πππππUlivyo kuwa unaogelea pale ledge view dahh binti umeumbwa ukaumbika haswa ulinichanganya akili yangu sana siku ile
Tulia hapo hapo vp Poker mtamu ehh au jau tu[emoji41][emoji41]Muache mkaka wa watu jamani aisee [emoji23][emoji23] .
mie natulia kwa kipenzi changu cha roho .
Poker ataona wivu Ila anajua kuogelea mwambie akufundishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mmhh wewe kiumbe noma aisee
ukirudi unipeleke hapo , niogelee
wapi huko niende ,Jana nilitamani kuogelea ila haikutokea .@Poker ataona wivu Ila anajua kuogelea mwambie akufundishe
Basi siwaingilii kwenye mapenzi yenu [emoji23][emoji23][emoji23] Ila mmejua kutukomesha jaman siyo kwa kupendana hukommh Poker Naomba uje umpe onyo huyu kiumbe [emoji23][emoji23]
Na tunakuja kuwabeba wote,wewe na Yolly yollyEmbu niache bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitokeii kwenye jukwaa la Liverpool mpka siku mfungwe [emoji41][emoji41]
Helloowww dear! Hauna kapicha ukiwa unaogelea unibless kipenzi π€π€π!??wapi huko niende ,Jana nilitamani kuogelea ila haikutokea .
hahaha umetuonea wapiBasi siwaingilii kwenye mapenzi yenu [emoji23][emoji23][emoji23] Ila mmejua kutukomesha jaman siyo kwa kupendana huko
Siumemficha Mjep ww Ila ww mwanamke jaman boss wa watu umemfungia chumbani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Huyo namuwezea wapi mie Baba Yolly nawewe!!!!
Wewe na Yolly sasa ndio balaaa hatunywi maji humu!! πBasi siwaingilii kwenye mapenzi yenuIla mmejua kutukomesha jaman siyo kwa kupendana huko
Bora mnichukue mm kuliko kumchukua yolly yolly ninavyompemda yule binti akiniacha najiuaNa tunakuja kuwabeba wote,wewe na Yolly yolly