myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
AiseeNimekupendaa bureee Mariam ππView attachment 2395129
Tuliaa hivohivoo βHuyo nafasi yake kwa mr Vocha ni spesheli! Alayna in his heart you are the wani n onli pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Na chai ya maziwa hapo umemaliza kila kitu.Ooh hayo matamu kwa kweli upate na chai ya maziwa ushushie .
Maisha ndo haya haya
Mbele ninaendeleaJumapili hii my favorite gospel songs
Hahaha aise alitisha jamaniKuna siku alinambia i don't feel like talking with you leo, and i was like cool cool,, nikaja mtafuta jioni she's cryn sijamwambia nakupenda the whole day [emoji19]
i was like nigga you told me hujisikii kuongea na mimi siku nzima why cryn[emoji16]
Ewaah , πNa chai ya maziwa hapo umemaliza kila kitu.
Ngoja nikachemshe maziwa.
Hello jiraniSalam kwenu
Nzuri mamy,Ewaah , π
Habari ya leo ?
Poa , mzima wewe.Nzuri mamy,
Mambo
Mungu ni mwema sana..Poa , mzima wewe.
Hata huku nilipo kuna ka vumbiMungu ni mwema sana..
Tunakula tu vumbi pande hiziπ
Vipi huko mjini Daslam?
Siyo kwa hili vumbi la MbeyaHata huku nilipo kuna ka vumbi
Sipo Dar sasa ..
Baridi imepungua huko
Mweh huko vumbi si poaSiyo kwa hili vumbi la Mbeya
Linajizoa kwenye nywele na miguuni
Baridi hakuna.
YaaniMweh huko vumbi si poa
Poleni .
Duh hapo balaaYaani
Watu wa kwenda kazini Kwa kupigania daladala sijui wanafika miguu ikiwa na hali gani.
Hata unate vipi lazima uzoe vumbiπDuh hapo balaa
Kutembea kwa kunata hiyo au upande boda .
Tuonyeshe mfano boss ledi Mkubwa mjini hapaStory ziwe chache sana selfii kwa wingi wapendwa π!!
Nakuona nakuonaaa mama Mwarabuuuuuu!!! Avatareee on fleek ππππππHata unate vipi lazima uzoe vumbiπ