Mkuu hiyo avatar yako kila nikiiona naitafakari ila sijawahi kuipatia jibu ni kwamba hiyo sura ndiyo imechorwa kwenye hivyo vidole au hivyo vidole ndiyo vimechorwa kwenye hiyo sura??
Wote waliopost pics zao humu hasa wadada ni tumejiamini na kujilipua sio kazi ndogo hiyo na visu vimo vya kutosha,, yawezekana camera, background zinafanya waonekane local
Binafsi nimefarijika sana na huu uzi jf kuna warembo na naamini wengi tu hawajajipost
Sasa mkianza hii ya huyu ni quality ya huyu sio tutazitafuta za kudownload au tutaona haya kujipost