Nimeona hapo ulipofuta madam Mahondaw MCLovelovie Saint Anne sophy27 Tinsley mnitafutie nguo 2 za kuvaa Alhamis๐๐!! ukumbini uwanjani na Inner party!!
Kwenye harusi yenuHuyo Ex wake anaanzia wapi kunihug ๐
Atakuwa anakaa anasikilizia maumivu hukoKwenye harusi yenu
Anakuja kukuhug ๐๐
Khaaa ๐Gari linaenda mkoa mwingine hili ๐๐ nijikute huko ya nini .
Halafu nasikiaga ma ex huwa wanakuja , sema ndo huwajui Sasa .Atakuwa anakaa anasikilizia maumivu huko
Labda aje kunichora
Yeah kila saa namuuliza mtu wa pembeni lolKhaaa ๐
Wamekuja wataalam wa rangi sasaUna rangi nzuri ya kung'aa naona kila rangi itakupenda .
Unaweza chagua rangi ya peach , lavender ,baby yellow emerald green .
Kama mimi tuYeah kila saa namuuliza mtu wa pembeni lol
This anxiety ๐๐
Nipo hapa ccy tena nipe tu dress code nakuchangulia iwe ya mtumba, iwe ni ya kushona , iwe ya dukani chap kidgTena nilisahau Lovelovie pia yuko vyedi kwenye kupangilia rangi
Lovelovie Saint Anne sophy27 Tinsley mnitafutie nguo 2 za kuvaa Alhamis๐๐!! ukumbini uwanjani na Inner party!!
HatariKama mimi tu
Code za kiualimuuu ila za kisherehesherehee sasa ilimradi isiwe ya kukaa uchi! au kuacha mwili wazi sana!Nipo hapa ccy tena nipe tu dress code nakuchangulia iwe ya mtumba, iwe ni ya kushona , iwe ya dukani chap kidg
Ccy unataka ya kushona, ya dukani au mtumbaCode za kiualimuuu ila za kisherehesherehee sasa ilimradi isiwe ya kukaa uchi! au kuacha mwili wazi sana!
๐๐๐๐๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ!Nimeona hapo ulipofuta madam Mahondaw MC
๐๐๐๐ nimekusbiri hapaa hapaaa
Mutoto ya ng'ombe๐
Itakuwa unazijua sema majina ndo labda huyajui .Wamekuja wataalam wa rangi sasa
Sijaambulia kuitambua hata moja hapo
Kushona nishachelewa sis mie sivaagi za Special napenda mtumba!!Ccy unataka ya kushona, ya dukani au mtumba
Sherehe tunayo hatuna๐๐๐
Akayesu [emoji1787][emoji1787]Mutoto ya ng'ombe[emoji41]
Hiyo sekta mimi ni mweupe pee!Itakuwa unazijua sema majina ndo labda huyajui .