Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Mashimo alisema atamfufuaπ€£ππππ Fufua katibu, katibu aseme ukweli
πππππ Eeeh! Katibu aseme ukweliMashimo alisema atamfufuaπ€£
Wewe si ndo mtaalamu na kuzunguka dar tafuta tu sehemu yoyote nzuriChagua sehemu nzuri dada yangu twende ili uenjoy vizuri vizuri ππ
Hayo maswala umeyajulia wapiππππππ Niambie mwanangu
πππ Nitakupeleka sehemu nzuri kabisa tukale upepo na chakula kitamuuWewe si ndo mtaalamu na kuzunguka dar tafuta tu sehemu yoyote nzuri
Nimeweka hapa ili nielewe tuu maana yake, wanaita vipipi πππHayo maswala umeyajulia wapiππ
Sawa haina shida tusubiriπππ Nitakupeleka sehemu nzuri kabisa tukale upepo na chakula kitamuu
Haya ukijua na mimi naomba nielewesheNimeweka hapa ili nielewe tuu maana yake, wanaita vipipi πππ
Nakuaminia jembe langu, ratiba hazito ingiliana ππSawa haina shida tusubiri
Nishaambiwa kuna chakula kitamu sasa ratiba zitaingilianajeNakuaminia jembe langu, ratiba hazito ingiliana ππ
Mie tena, navyopenda kufundisha, nitanunua kabisa na ubao mweupe na karamu zake nimwage lecture ππHaya ukijua na mimi naomba nieleweshe
Ewaaaa namnaa hii π€π€π€π€ nafsi lazima ifurahiNishaambiwa kuna chakula kitamu sasa ratiba zitaingilianaje
Sawa haina shida nasubiri kiongos ππππI catch up easily na vitu vipya vizuri vizuriMie tena, navyopenda kufundisha, nitanunua kabisa na ubao mweupe na karamu zake nimwage lecture ππ
πππ Nakuelewa sana genius wanguuu.. brain ipo active sana hiyo, una elewa kuliko mwalimu anaekufundisha.. Yaani hapo hapo mwalimu anakuwa mwanafunziSawa haina shida nasubiri kiongos ππππI catch up easily na vitu vipya vizuri vizuri
πππππππsasa we kuweshindwa??? Tuvitu tutamutamua kama hutooooππππππ Nakuelewa sana genius wanguuu.. brain ipo active sana hiyo, una elewa kuliko mwalimu anaekufundisha.. Yaani hapo hapo mwalimu anakuwa mwanafunzi
Kama class unapiga banda la A++ iwe hutu tu tuvitu tudoga, unachapa kabisa A+++ pro maxπππππππsasa we kuweshindwa??? Tuvitu tutamutamua kama hutooooπππ
πππMm nikajua ni marudio kuangalia vizuri loohπYanga mna nini lakini chuma teari [emoji75]
Tupo busy na Liverpool [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Yanga mna nini lakini chuma teari [emoji75]