Sasa hivi hata Carrasco putin keshalala na Yolly Yolly wake. Vocha zinadoda tu hazina wenyewe.Selfika na #airtel#
*104*60432989776972#
Utumbo ni mzuri sana babu.Machale mjukuu. Napenda sana utumbo
Babu watu wanapita nazo juu kwa juu[emoji16]Sasa hivi hata Carrasco putin keshalala na Yolly Yolly wake. Vocha zinadoda tu hazina wenyewe.
Kwema lakini nkamu? Katikati hapa ulipotea kidogo mpaka vocha zikaadimika. Natumaini kila kitu kiko poa [emoji1545]
Mzee wa Yolly Yolly atakua anaapa kwa herufi kubwa wakati huuπ€£Sasa hivi hata Carrasco putin keshalala na Yolly Yolly wake. Vocha zinadoda tu hazina wenyewe.
Kwema lakini nkamu? Katikati hapa ulipotea kidogo mpaka vocha zikaadimika. Natumaini kila kitu kiko poa ππΏ
Bado kalala akiamka anaambulia manyoya
Na wewe selfika bossSmart911 jirani,we huwa huselfiki? Umeamkaje?
Kaniambia nimsubirie hapa....Bado kalala akiamka anaambulia manyoya
Mimi nishafika aunt nisubiri twende
Nakuja hapo chap tushuhudie hilo jua likichomoza akichelewa hatukuti imekula kwakeKaniambia nimsubirie hapa....View attachment 2386563
ππππNakuja hapo chap tushuhudie hilo jua likichomoza akichelewa hatukuti imekula kwake
Usipande boti kwanza nisubiri
Kwetu kuna miti mingiππππ
Haikubaliki....angalizia huko huko kwenu.π
Ikateni ππKwetu kuna miti mingi