Mimiiiiii
Kwakweli tozo ni habari nyingine mwambie msanii wetu avumilie tu๐๐soon tunahamia BurundiTozo zina mnyoosha ๐๐
๐๐๐Mimiiiiii
Tena nina shida ya washing mashine
Muazime wifi ako sophy27Mimiiiiii
Tena nina shida ya washing mashine
Waalaykum salaam Jirani. hujambo?Hello Jirani
Assalam Aleykum myoyambendi
Niko bukheri, hofu kwako jiraniWaalaykum salaam Jirani. hujambo?
Utakula wee mimi nitasubiri ubakishe๐Am coming ,mbona yakwako tuu uchoyo bhan๐๐
Jirani, uhali ganiWaalaykum salaam Jirani. hujambo?
Ulikuwa wapi kusalimia? Acha kudandia salamu za watuJirani, uhali gani
Polee!! Sasa mbona hukuniambia kama hupendi???๐๐Umewahi, unanigombeza sana ๐๐
Exactly una roho muzur mpishiUtakula wee mimi nitasubiri ubakishe๐
Juta tu ila usijiueNajuuuta๐๐
Haya unataka ushauri wa nini
NiacheeeeeeUlikuwa wapi kusalimia? Acha kudandia salamu za watu
Ye ndo mtozaji mwenyewe....๐ค๐คAu sioo bhas tozo znamchangany