Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee..Nani kasema?!!
people wanawatch balaa yaani mmegundua kumbe watu wanafatilia Sana huu Uzi ujue!
na picha wanasevu pia
Shemeji bana...

Nimekaona ka Koku.

Na mama yake...

Kamalaika. Karembo. Kapendeka. Kabarikiwa πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

Wasukuma huko waliko wakisikia hizi habari sipati picha watakavyoumia 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…