Mdogo wangu naona unavunja makubaliano tuliyofanya kwenye kikao cha ukookiukweli hata tukila ugali dagaa sawa tu ilimradi anipende tu .
๐๐๐ Mkuu mie nimeisha maliza mwendo kwa Shangazi yako Antonnia , sioni sisikiii.. Nimefungala kila kitu mie ni yeye na yeye ni mie..Mdogo wangu naona unavunja makubaliano tuliyofanya kwenye kikao cha ukoo
Hili inabidi tukalijadili huko
Carrasco putin kama huna ela huyu mrembo tunampa kaka mkubwa National Anthem aka enjoy japo kahawa za 5 star hotel๐
Ungenifanyia hv mimi[emoji48][emoji48][emoji48] ungekuwa uko kwa therapist unatibiwa ptsd[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwahi mfanyia hivi mtu m1. Aseeeeeh-View attachment 2363238
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mdogo wangu naona unavunja makubaliano tuliyofanya kwenye kikao cha ukoo
Hili inabidi tukalijadili huko
Carrasco putin kama huna ela huyu mrembo tunampa kaka mkubwa National Anthem aka enjoy japo kahawa za 5 star hotel๐
hahaha sitaki kuwakosea wakubwa wangu ,mtakayemchagua sawa tu .Mdogo wangu naona unavunja makubaliano tuliyofanya kwenye kikao cha ukoo
Hili inabidi tukalijadili huko
Carrasco putin kama huna ela huyu mrembo tunampa kaka mkubwa National Anthem aka enjoy japo kahawa za 5 star hotel๐
Thank you,, na wewe ujehongera in advance
Nipo njiani nakuja ๐๐ tena nina njaaa kweli
Mmmh Jf kumbe kuna MizigooKarani wa SensaView attachment 2331124
๐๐๐๐๐ Jiandae na zoezi letuuu tyu nakuja ondoa hadi vinyweleooooo!! Adoadoooooooo!! taraatiiiiiiiiibuuuu kabisa kwaraha zako mjomba!!๐๐๐ Mkuu mie nimeisha maliza mwendo kwa Shangazi yako Antonnia , sioni sisikiii.. Nimefungala kila kitu mie ni yeye na yeye ni mie..
Tukiachana tuite umbwaa tumekaa pale balcony ya nyumaMtaachana tuuu......๐๐๐๐
Sponsored by supu ya mbwa ๐Tangazo tulilipie sponsored kabisa kama vipi
Em tangaza๐
asante sana rafikiThank you,, na wewe uje
Naanza kabla hamjaachana sasaTukiachana tuite umbwaa tumekaa pale balcony ya nyuma
Mr vocha kwahio leo bila bila kabisaaa๐ค๐ค๐ค!!!??? !! Mbona maisha yatakua magumu sana Selfika uwiii!!Naanza kabla hamjaachana sasa
Mbwaaaaaaaaaaaaaaaa.............
๐๐ Paka majogooo๐๐๐๐๐ Jiandae na zoezi letuuu tyu nakuja ondoa hadi vinyweleooooo!! Adoadoooooooo!! taraatiiiiiiiiibuuuu kabisa kwaraha zako mjomba!!
Shangazi naomba HโSOโ ๐๐๐๐ถJust the way you are girl
You don't have to change you don't have to do a thing nooo ๐ถ
Just the way you are girl
If put make up put no make up
Just the way you are girl ๐ถ
.........................................................
..........................................................
Usiku mwema wapendwa mlale unonooo!!! โ๏ธโ๏ธ