Selfika na JF: Snap it. Show it

🀠🀠🀠 Mkuu mie nalelewa na shangazi yenu.. Sitaki kufa mapema mapema na vijana wenzangu
Weeee usintanieeee 😳😳😳 Unasemaaaa???πŸ˜³πŸ˜³πŸ€”πŸ€”πŸ€” Kakalakeee mr vouuchaaaa kasema anataka mashemejii wenye hela usimtaniiieee !! 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Shangazi mwenyewe njaa kali tupu 🀣🀣
 
Kwarahaa zakoooo mjomba wangu anything for you mjomba akeeee!! Carrasco putin Piga kelele kwa anko anko akeeee... weeeeehhh weeeeeehh weeeeeuuuuweeeeeeeehπŸ’ƒπŸ’ƒ
Naneeeeeepa tu hapa, maisha si ndio hayaaa nilikuwa nayasaka toka kuumbwa kwa dunia 🀠🀠🀠🀠 acha niumwage moyoo wanguu wooote tu
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hela nitasaka Shangazi, nikizipata mie ndio umezipata wewe
 
Naneeeeeepa tu hapa, maisha si ndio hayaaa nilikuwa nayasaka toka kuumbwa kwa dunia 🀠🀠🀠🀠 acha niumwage moyoo wanguu wooote tu
Weeee sikushauriiii kuubwaga moyo woteeee kaa Mguu pande Hayanaga formula ujue usiseme sijakwambiaaaa!!🀣🀣🀣! Anaekupenda anakwambia ukweli mjomba ohoooooo!!!
Anyway enjoy each moment you get mjomba wangu maisha ndio hayahayaaaaaa 😍😍😘😘😘😘!!
 
Shukrani mkemia nipo sawa soon tutakua pamoja sebleni hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…