Ndio ndioooooooooo!!!Saivi hata ukiniomba selfiiii nakupa kiroho safiii kabisa mdogo wangu barikiwa mnooooooo!!!
Hiyo ndo yenyeweNiliachia kivuli[emoji23]
Kivuli Kuna namna kimekolea
Vitoto vyetu hivi vya 2010 kuja juu form fourMie pia wa zamaniii Wengi wenu humu nimesahisha pepa zenu za NECTA kuanzia form4 hadi form 6 kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui kitatokea nini
La mchongoπ€£NDIO ndioooooooooo!!!Saivi hata ukiniomba selfiiii nakupa kiroho safiii kabisa mdogo wangu barikiwa mnooooooo!!!
Kumbe uko li zuri hivoooo woooiiiππππππππ
Weee sio yaleyaleeee Walau imeonekana vizuri!!Yatakuwa yaleyale maana ni colorless
Kabisaaaa,Mjep anasema nimewapigaπ
Reality vs kivuliπHiyo ndo yenyewe
Wasikutishe umetoka vizuriLa mchongo[emoji1787]
Kivuli kisikudanganye.
Sketch inachora vizuri ati
Kabisaaa madam...Vitoto vyetu hivi vya 2010 kuja juu form four
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
EeeeReality vs kivuli[emoji23]
Nimecheka hadi kichwa imepata motoπ€£π€£π€£π€£Mbona hadi kukula wewe hadi jasho linitoke au unanifanyiaga maksudi honey π―π―ππnyonga mkalia ini
Hao hawajaiona ile ya pili nyie Saint Anne ni mzureeeeeee balaaaaWasikutishe umetoka vizuri
Khaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kabisaaaa,
Hiyo umeiba kule kwenye uzi wa warembo wakali, huyo siyo Anne wetuπ
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui kitatokea nini
Maboreko yako mie hayanihusu π€£Mwandiko gani huo unaboa