National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mie Asenooo.. Wala hatutaki wageni.. π€ π€ π€ Kifua kizuri ama kweli wewe ni mwanamke mzuri.. Nywele msuko mzuri ebu kwa nyumaπKilichokatiza hapa zilikuwa ni nywele nilizirudisha nyuma.
Ndio mnaanzaga hivi hivi mwishowe mnakuwa wehu. Basi atahamia timu yako[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2354583
Haya Carrasco putin π€ π€kabisa inanoga ile mbaya
mimi nikifika nikujifunika na blanketi tu
Kumbe wewe arsenal, ndiyo maana.Mie Asenooo.. Wala hatutaki wageni.. [emoji1783][emoji1783][emoji1783] Kifua kizuri ama kweli wewe ni mwanamke mzuri.. Nyewel msuko mzuri ebu kwa nyuma[emoji6]
Usijali Depal amesema anakutumiaYaani nna majonzi kukosa vocha
muache huyo afike nyumbani kwanza .Haya Carrasco putin π€ π€
Aseeeenooo damu.. Ukichanja damu inasomeke Patrick viera, tony adam, Pires, henry π€ π€ π€Kumbe wewe arsenal, ndiyo maana.
Nyie vijana peaneni msinyimane π€ π€muache huyo afike nyumbani kwanza .
Hivi voda hawana option ya kupunguziana mb's?Aje tumalizie hizi Mb kwanza View attachment 2354602
Hizo nyie wawili hamzimalizi. Niwashie hotspot basi. Halafu password si ileile au umeshabadilisha maana na ww hutabirikiAje tumalizie hizi Mb kwanza View attachment 2354602
Dah! Ukucha mzurii..
hapendi vibonge kwanza huyoNyie vijana peaneni msinyimane π€ π€
Kweli vile. Basi Lenie atakuwa kaiweka anatuzingua tu hapaMumeiweka ππ
Mmenisumbua tu kuharibu stick note yangu
Vibonge watamu.. Ukiwabinua unachakazaaa.. Mkuu wangu Carrasco putin unafeli wapiihapendi vibonge kwanza huyo
tumuache tu kwa viportable wake
Ni ile ile mzeeiya ππ€£Hizo nyie wawili hamzimalizi. Niwashie hotspot basi. Halafu password si ileile au umeshabadilisha maana na ww hutabiriki
Yaani ikae muda wote huo inakusubiri wewe umekua malkia auMumeiweka ππ
Mmenisumbua tu kuharibu stick note yangu
Piga 100 uwaulizeHivi voda hawana option ya kupunguziana mb's?
Me si queen jamani au?Yaani ikae muda wote huo inakusubiri wewe umekua malkia au