Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,576
- 235,419
Yaani mtu haniambii kitu kuhusu Madera .Kabisa wanapenda vimini ndo wanaona tumevaa ungeona kusifia km kote
Umependeza tu 🥰🥰
View attachment 2352725
Jeans??Weka moja ambayo umevaa tight jeans😊
Asante mwaya🥰Yaani mtu haniambii kitu kuhusu Madera .
Mtandio tu ndio sijuagi kufunga😂
Umewaka🔥🔥🔥
HamnaNinacho
Maisha yanabadilika
Mtandio naonaga kama unanibana😂😂Asante mwaya🥰
Hiyo ndio yenyewe!Jeans??
Kwa shepu Gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
shepu unayo AnneJeans??
Kwa shepu Gani?😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Hiyo ndio yenyewe!
Hiyo ndio yenyewe!
Shape za kizungu hizi[emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shepu au mifupa??
Niliweka humu picha ya suruali
Huwaga naweka hivyo.Huchekeshi watu lkn maana km hujazoea siku ya kwanza lazima wakushangae
Mtandio sio lazima kufunga km huwez unajitupia tu kama hivView attachment 2352727
Za mchongo,😂😂😂Shape za kizungu hizi[emoji7]
🤣🤣🤣Huwaga naweka hivyo.
Ngoja nikutafutie picha,,nilivamia sikukuu Eid elfitr😂😂😂
Unapenda ubonge eehZa mchongo,[emoji23][emoji23][emoji23]
WalaaaUnapenda ubonge eeh
UnayoJeans??
Kwa shepu Gani?😂😂😂😂😂
NakapendaWalaaa
Kamwili kangu naona kanatosha😁
Mtoto wa mtu asije kushindwa kunibeba
Mimi ni ndugu yenu kabisaa
Mbona nyonyo bwaku?Huchekeshi watu lkn maana km hujazoea siku ya kwanza lazima wakushangae
Mtandio sio lazima kufunga km huwez unajitupia tu kama hivView attachment 2352727
Hata mimi nakapenda hivyohivyoNakapenda
Huo mkanda nimeuelewa Auntie🥰Huchekeshi watu lkn maana km hujazoea siku ya kwanza lazima wakushangae
Mtandio sio lazima kufunga km huwez unajitupia tu kama hivView attachment 2352727