Polee dear Get well soon! Mi mwenyewe nilisafiri Kurudi hivohivo na homaa afu niliteguka mguu sijui kama nutaweza kuparangana na madogo kama ntakua zamu walai!!!!!!
Wee mapepe yako tu mbona Mtoto wa kisukuma kaenda hewani plus potabo moja matata sana !
The same na kwa auntie madamee Sophy yuko vyedi sana!
Karibu sana bora utakua unamsaidia kurekodi scores!