National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
πππππ hizi usukumani ni nyingi sanaaa
Wasukuma wamekukosea nini broπππππ hizi usukumani ni nyingi sanaaa
Nimewaolea so wawe wapole dawa iwaangie π€£ππWasukuma wamekukosea nini bro
Hongera sana sis ! Jamani tumuone birthday baby na mamake sis fanya hivo jamani!Cake zipo nyingi sana ccy...... Party ilifana sanaπππ
Hellow Madam AntonniaHelloowww selfika β!!
Poapoa sis ukitupia uniite dear can't wait π!!Ccy picha nakutumia Leo zipo mingi mingi
Mara nyingi hadi nimeshasahau idadiHivi ushaselfikaga humu mkuu!!??π
Dadamtuu huo uchocheziiiiiπ€π€π€! Na ukaacha kumtetea kakako jamani dada Nuksi sana weye!!Nipo burazaaa..... usingizi wangu umeisha....ulimuona wifi Alayna nasikia alikuja Jana akakuta kanga ya mwanamke mwingine chumbani kwako....akawa amerudi na ndege ya sa 2
Wee kumbe!! Sijawahi bahatisha selfii yako aisee ngoja nivizie siku ukitupia niione!Mara nyingi hadi nimeshasahau idadi
Mazimaaaaaa!!βοΈ
Aliekuchachusha mr Vocha walai Mungu anamuonaπ€!Hiyo kiatu nimeielewa sana chief
Siwezi kupata hiyo kitu woolworths?π
Uwe na safari Murua kabisa chief
Naona kitimtim!!πππ sijui ndio futuhi au mizengwe