Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ka junia kaleeeeeeee... kwa mbali[emoji7]
Nikiwepo sipati za Airtel [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Selfika na #voda#
*104*989718591120307#
πππ imeishaNaomba jero basi mshkaji wangu wa ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Senkyuuuuuππππ imeisha
Kuna Naija pia hapo, wakifatiwa na majirani zetu Kenya
yani nimeisha itumia imeisha π€£π€£Senkyuuuuuπ
πππ sijui ndio futuhi au mizengwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My country pipo
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Bora hata wakenya,,waganda huyo mu7 nadhani ni main character wa comedyKuna Naija pia hapo, wakifatiwa na majirani zetu Kenya
Tz tunafit kotekoteπππ sijui ndio futuhi au mizengwe
Looh em ngoja nikatoe kikopa changu kwa comment yakoπ€£π€£yani nimeisha itumia imeisha π€£π€£
Hao sijawah kumbana nao, ila kingereza chao hua kinachekesha sababu ya ile lafudhi yaoBora hata wakenya,,waganda huyo mu7 nadhani ni main character wa comedy
Byurifuuπππ
Tafuta hii uisikilize ππTz tunafit kotekote
Naomba unitumieTafuta hii uisikilize ππView attachment 2335169
Badae nita ishusha nikutumieNaomba unitumie
Hiyo kiatu nimeielewa sana chief