Rudia tena basi πππNimekosea kunakili
Kuwa mpole vuna vocha kwanzaAcha lomoni mingi, selfika kwanza
Naona leo umeamua kuupiga mwingiRudia tena basi πππ
Depal ushindwe ww tuSelfika na #tigo#
Mmmh!!! Una balaa zito. Sio kwa spidi hiyo
Sijaiweka kwenye simu hii nayotumia π ndio maana inakuwa speed ya mweweMmmh!!! Una balaa zito. Sio kwa spidi hiyo
πππAunt usije kuniponza taasisi huko mbali naanzia kwako aunt nikopeshe laki 3ππππAunt yangu kwa jicho hilo
Hakuna benki au taasisi itagoma kukukopeshaπ
Nakuja asee niko hapa AIA. Si unajua tena siku hizi bando lilivyokuwa mzozo?
AIA ndio wapi? Au IAA?Nakuja asee niko hapa AIA. Si unajua tena siku hizi bando lilivyokuwa mzozo?
Hizi simu janja nazo, namaanisha IAAAIA ndio wapi? Au IAA?
Amina aunt[emoji4]Pole mwaya Kwa kuuguza
Allah amponye
Simama hapo kwenye travoo π nitakupungiaHizi simu janja nazo, namaanisha IAA
Unatafuna kucha aunt?????Henna
Kucha Sasaππnifundisheni kufuga kidogo looh
Aunt mkopo umepata dhamana yako ni hilo jicho tuuuππππAunt usije kuniponza taasisi huko mbali naanzia kwako aunt nikopeshe laki 3ππππ
Sitafuni ila nishazoea kukata nashindwa kuzifuga kabisa japo naona mnapendezaUnatafuna kucha aunt?????
Halafu una vidole vizuri sana dear!!Sitafuni ila nishazoea kukata nashindwa kuzifuga kabisa japo naona mnapendeza
Zikikua kidogo naona vidole vizito ππ