Bado uko… na maajabu naweza kufika nikajipa kazi nyingine nikasahau kulalaJiandae uwahi kulala, au usingz ushaisha
KimbiaaaDk 10 za kuzima vitu, kunywa maji na kususu😅
Nilikuwepo
Au utafika ukae kitandani usingz uyeyukeBado uko… na maajabu naweza kufika nikajipa kazi nyingine nikasahau kulala
🔥🔥🔥 resplendent
Aisee hongera ake mno
Aisee hongera ake mno
Mapenzi matamu sana wewe 😍😊
kitu tayari, sichui cha wiki tatu au mieiz mimoja na nusu 😎😎Nina usingizi 😁😁 Lenie
Kwani hukumbuki ilikuwa n lini? 🥳🤣🤣kitu tayari, sichui cha wiki tatu au mieiz mimoja na nusu 😎😎
Nawaza nikafue 😂😂 jua linanidanganyaAu utafika ukae kitandani usingz uyeyuke
Unafua J5, weekend ulikua wapi.Nawaza nikafue 😂😂 jua linanidanganya
Nafua za j3 hadi leo 😂😂Unafua J5, weekend ulikua wapi.
Naona una hamu na kazi wewe 🤣🤣🤣Nafua za j3 hadi leo 😂😂
Kwani ni vipi hapo😂😂
Kazi kaziiNaona una hamu na kazi wewe 🤣🤣🤣
Asanteeee ☺ ☺Beautiful legs! Alafu hpo c Zanzibar? Unazidi kuwa kijana kila kukicha ❤️💕😍 asanteeee!
Mhhhh[emoji23][emoji23]Kumbe zile gari za isamilo ndyo kwenu [emoji41][emoji41][emoji41] zinakimbia zile Gari jaman
Ni uvivu wa kufua au ndo kauka nikuvae 🤔🤔?Nafua za j3 hadi leo 😂😂
Nikung'atie...???Na mie pipi 😋