myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Salaaam jirani!!βSalam kwenu wadau..
Amin!!Iwe siku yenye amani..
Upaja upajaAfter a long matibabu tumetoka kutengeneza kucha
Pole sana rafiki nini mbaya ilikuwaAfter a long matibabu tumetoka kutengeneza kucha
Pole nkamuAfter a long matibabu tumetoka kutengeneza kucha
Shikamoo bossladyTumeamkaaaaaa!ππͺ!!
Marhabaaaa mr Vocha!π€
Marahabaaaaaa mr Vocha!!Shikamoo bosslady
Vidole Zimbabwe π€£π€£π€£π€£πππ€£πππ Mr Vocha Hizo bange za asubuhi asubuhi zimekuchachusha vibaya ujue π€£π€£π€£π€£!!Pole nkamu
Na wewe umepeleka vidole Zimbabwe?
Ila nimeona miguu ya kikeπ
Nkamu asante nimewamissUpaja upaja
Guu guu πππππ!!
Pole sana nkamu akee ma Hongera kwa kutibiwa!!!
Sie zaidi nkamu!!Nkamu asante nimewamiss
Nilifanyiwa Operesheni ya kutolewa Ovarian Cyst bahati mbaya wakasahau pamba, am gud now
Nkamu sioni dalili za utajiri nimeona bora nitoe vidole vya miguu yote ha ha ha haπ€£π€£π€£π€£Pole nkamu
Na wewe umepeleka vidole Zimbabwe?
Ila nimeona miguu ya kikeπ
Dahhh! Thanks God you are safe now nkamu! Mungu ni mwema and we are happy for you nkamu!! Warmly welcome dear!πππNilifanyiwa Operesheni ya kutolewa Ovarian Cyst bahati mbaya wakasahau pamba, am gud now
Nimecheka sana hahahaaa!!Nkamu sioni dalili za utajiri nimeona bora nitoe vidole vya miguu yote ha ha ha haπ€£π€£π€£π€£