Selfika na JF: Snap it. Show it


Dah!

30Mbps for 165, 000 while:

500Mbps for $39.99

Bado sana!


 
Babuu unatukaribisha kinywaji au???πŸ˜‰πŸ˜‰
Hebu weka sura tuone kama mzee kweli!!

Have a good time and Enjoy your day mkuu Umependeza sana!!✌️✌️✌️
Babu yako amezeeka sana, kwahiyo hawezi kuweka sura yenye mikunyazi ya Uzee humu πŸ™Š

Credit za kupendeza huku nitamfikishia Bibi yenu, credit za suit hii nitampa Mjukuu wangu Mmoja aliyeamua kufumba macho na kuniletea zawadi hii Babu yake πŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…