Ndiooooooo!!πππ
Kama kawa binti mapppooooouuuzzzxxx!!
Umenougaaa hatarreeeeeeeππππ
Mchana Wangu unaenda kuwa bareeeeeeeedaaaa kabisa β€οΈ
Santo sana
Sinletee hekaheka za jf mamdo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
!! Habare za kuchat kwa kuwindana kama digidigi setrakeee
Kukoseshana uhuru usio na kichwa wala masikio Akhaaaaa!
Mtu mlikua mnachati vizuri mnacheka vizuri mnataniana vizuri ukikubali tu sahauuuu
ππJf siwawezi kabisa!!